Help
Back

Casino Welcome Bonus

Time Left

8:10:53

Bonasi ya Ukaribisho - Mizunguko 50 ya Bure

Vigezo na Masharti 

 • Promotion hii ni kwa ajili ya mchezaji mpya anayejisajili kupitia tovuti ya www.meridianbet.co.tz au progamu ya simu.
 • Kila mchezaji anayejisajili atapata mizunguko 50 ya bure ya kutumia kwenye ya sloti ya Wild Icy Fruits (Expanse), na mizunguko hiyo itawekwa kwenye akaunti ya mteja ndani ya masaa 24 baada ya kujisajili.
 • Beti moja kwa kila mzunguko ni TSH 80, na kiwango cha juu unachoweza kushinda TSH 4000.
 • Ushindi unaopatikana kwenye mizunguko hii ya bure ni lazima utumike kwenye mchezo huu mara 40 ili kuweza kuhamisha pesa kwenda kwenye salio kuu. Unaweza kuona maendeleo ya bonasi yako kwenye sehemu ya takwimu ndani ya mchezo.
 • Mizunguko ya bure inatakiwa itumike ndani ya siku tatu toka inapotolewa.
 • Waandaaji wana haki ya kuboresha, kuahirisha au kusitisha promosheni hii wakati wowote.
 • Kwa taarifa zaidi, matangazo au msaada, tafadhali wasiliana na watoa huduma wetu.
 • Vigezo na masharti ya jumla kuzingatiwa. 

Unapataje ya kupata bonasi?

 • Baada ya kuingia kwenye Promosheni, unatakiwa kuweka kiasi cha pesa unachotaka kukitumia kipindi chote cha Promosheni. Sio lazima utumie kiasi chote utakachokiweka kwenye akaunti.   
 • Baada ya kuweka kiasi cha pesa, kiasi chako kitaweza kutumika kwenye mchezo wowote wa sloti uliopo kwenye ofa yetu, na utapata nyongeza ya bonasi ya asilimia 100% au 200%. Kiasi cha bonasi unachopata kinaweza kutumika kwenye mchezo wowote, ikiwa ni pamoja na michezo inayoshiriki promosheni, inayopatikana kwenye kipengele cha sloti kwenye tovuti yetu.
 • Wakati wa Promosheni, kucheza michezo ya kasino unaweza kutumia kiasi cha pesa ulichokielekeza kwenye Promosheni pekee na bonasi uliyopewa. Kiasi chote kinachosalia kwenye akaunti yako kinaweza kutumika baada Promosheni hii kuisha.
 • Wakati wa Promosheni, ni Promosheni ya kasino pekee itakayokuwepo kwa wakati huu.
 • Unaweza kuona taarifa zaidi juu ya maendeleo ya Promosheni kwenye ukurasa mkuu wa Kasino, au kwenye kipengele cha akaunti yako sehemu ya Promosheni za kasino - ‘My Account’>‘Casino Promotion’

Bonasi ya Asilimia 100% ya kuweka pesa kwa mara ya kwanza kwenye akaunti yako.

Vigezo na Masharti

 • Kila mchezaji aliyejisajili meridanbet.co.tz ambaye ameweka pesa kwa mara ya kwanza anakidhi vigezo vya kushiriki promosheni hii.
 • Mara baada ya kuweka pesa kwa mara ya kwanza, mchezaji anakidhi vigezo vya kupata ‘Bonasi ya 100%’ ya promosheni. 
 • Kila mchezaji anayeingia kwenye promosheni baada ya kuweka pesa kwa mara ya kwanza, atapewa bonasi ya 100% ya jumla ya kiasi anachochagua kukiingiza kwenye promosheni
 • Wachezaji hawahitaji kutumia kiasi chote kinachowekwa kwa ajili ya promosheni. Kiasi cha chini kinachoweza kuwasilishwa ni TSH 10,000 na kiwango cha juu ni TSH 200,000.
 • Baada ya kupata bonasi, jumla ya bonasi na kiasi kilichowekwa kitatanbuliwa kama “Locked Assets’ 
 • Locked assets kutoka kwenye bonasi ya 100% inatakiwa kutumika mara 30 kwenye michezo ya sloti ili pesa iweze kuhamishiwa kwenye salio halisi la mchezaji.   
 • Baada ya ‘locked asset’ kutumika kwa idadi inayotakiwa, kiasi kitakachopatikana kwa wakti huo kitahamishwa mara moja kwenda kwenye akaunti kuu ya mchezaji, kiasi kinaweza kutumika kwenye ubashiri wa michezo yote au kutolewa.
 • Kiwango cha juu cha dau la kila mzunguko wakati wa promosheni ni TSH 8000.
 • Kiwango cha juu kinachoweza kuhamishiwa kwenye akaunti kuu ya mchezaji ni TSH 1,000,000/=
 • Ikiwa mchezahi ataamua kusitisha promosheni kabla ya kukidhi vigezo vilivyowekwa, atapoteza kiasi chote cha bonasi, kiasi cha pesa alichoshinda pamoja na pesa yeyote iliyotumika wakati wa promosheni kabla ya kusitisha ushiriki. Pesa binafsi (Personal Resources) itatumika kabla ya kutumika kwa kiasi cha bonasi.
 • Ofa hii ni kwa mtumiaji mmoja, anuani ya IP moja, katika nyumba moja.
 • Kila mchezaji anaweza kupata bonasi ya 100% mara moja tu. 
 • Kwa kushiriki kwenye promosheni, wachezaji wanakubali vigezo na masharti yote yanayohusu promosheni. 
 • Meridian wanasalia na haki ya kufanya mabadiliko ya sharia za promosheni au kusitisha promosheni kadri wanavyoona inafaa.
 • Vigezo na Masharti ya Jumla kuzingatiwa. 

Bonasi ya Asilimia 200% ya Kuweka Pesa kwa Mara ya pili kwenye akaunti yako.

Vigezo na Masharti:

 • Kila mchezaji aliyejisajili meridanbet.co.tz ambaye ameweka pesa kwa mara ya pili anakidhi vigezo vya kushiriki promosheni hii.
 • Mara baada ya kuweka pesa kwa mara ya pili, mchezaji anakidhi vigezo vya kupata ‘Bonasi ya 200%’ ya promosheni. 
 • Kila mchezaji anayeingia kwenye promosheni baada ya kuweka pesa kwa mara ya pili, atapewa bonasi ya 200% ya jumla ya kiasi anachochagua kukiingiza kwenye promosheni
 • Wachezaji hawahitaji kutumia kiasi chote kinachowekwa kwa ajili ya promosheni. Kiasi cha chini kinachoweza kuwasilishwa ni TSH 10,000 na kiwango cha juu ni TSH 200,000.
 • Baada ya kupata bonasi, jumla ya bonasi na kiasi kilichowekwa kitatanbuliwa kama “Locked Assets’ 
 • Locked assets kutoka kwenye bonasi ya 200% inatakiwa kutumika mara 30 kwenye michezo ya sloti ili pesa iweze kuhamishiwa kwenye salio halisi la mchezaji.   
 • Baada ya ‘locked asset’ kutumika kwa idadi inayotakiwa, kiasi kitakachopatikana kwa wakti huo kitahamishwa mara moja kwenda kwenye akaunti kuu ya mchezaji, kiasi kinaweza kutumika kwenye ubashiri wa michezo yote au kutolewa.
 • Kiwango cha juu cha dau la kila mzunguko wakati wa promosheni ni TSH 8000.
 • Kiwango cha juu kinachoweza kuhamishiwa kwenye akaunti kuu ya mchezaji ni TSH 1,500,000
 • Ikiwa mchezahi ataamua kusitisha promosheni kabla ya kukidhi vigezo vilivyowekwa, atapoteza kiasi chote cha bonasi, kiasi cha pesa alichoshinda pamoja na pesa yeyote iliyotumika wakati wa promosheni kabla ya kusitisha ushiriki. Pesa binafsi (Personal Resources) itatumika kabla ya kutumika kwa kiasi cha bonasi.
 • Ofa hii ni kwa mtumiaji mmoja, anuani ya IP moja, katika nyumba moja.
 • Kila mchezaji anaweza kupata bonasi ya 200% mara moja tu. 
 • Kwa kushiriki kwenye promosheni, wachezaji wanakubali vigezo na masharti yote yanayohusu promosheni. 
 • Meridian wanasalia na haki ya kufanya mabadiliko ya sharia za promosheni au kusitisha promosheni kadri wanavyoona inafaa.
 • Vigezo na Masharti ya Jumla kuzingatiwa. 

More promotions

JOIN NOW AND START WINNING BIG!

Join now and win big!

Time Left

8:10:53

Read more

Sports & Casino Bonus

How to activate and use bonus

Time Left

8:10:53

Read more

Affiliate Program

Become Meridianbet Affiliate

Time Left

8:10:53

Read more