Vigezo na Masharti:
- Promosheni hii ni kwa wateja waliojisajiri kwenye tovuti ya www.meridianbet.co.tz au kwenye Aplication yetu.
- Promosheni hii itadumu kuaniza 26.06.2023 mpaka taarifa ya mwisho wake itakapotoka.
- Muda utakao hesabiwa ni kuanzia jumatatu saa 06:00 usiku mpaka jumapili saa 05:59 Usiku.
- Mchezaji yeyote katika kipindi cha promosheni atacheza mchezo au michezo yoyote katika kipengele cha kasino kwenye APP au tovuti ya meridianbet.co.tz na kupoteza kiasi cha 250,000 TSH - atakidhi vigezo vya kupata bonasi ya kasino au pesa taslimu katika sheria zifuatazo:
- Mchezaji ambaye atapoteza kati ya 0 - 249,999 TSH kwa wiki, ana haki ya kupata 5% ya kiasi alichopoteza katika kipindi cha wiki moja kwenye akaunti yake ya bonasi ya kasino. Ili bonasi ya kasino iweze kuhamishiwa kwenye akaunti ya pesa halisi, lazima izungushwe mara 50 kwenye mchezo wowote wa sloti. Ushindi wa juu unaoweza kutolewa ni 25,000 TSH. Kiasi cha chini cha bonasi kinachoweza kulipwa ni 6,000 TSH.
- Mchezaji ambaye atapoteza kati ya TSH 250,000 – 124,999 TSH kwa wiki, ana haki ya kupata 5% ya kiasi alichopoteza katika kipindi cha wiki moja kwenye akaunti yake ya bonasi ya kasino. Ili bonasi ya kasino iweze kuhamishiwa kwenye akaunti ya pesa halisi, lazima izungushwe mara 50 kwenye mchezo wowote wa sloti. Ushindi wa juu unaoweza kutolewa ni 125,000 TSH.
- Mchezaji ambaye atapoteza kati ya TSH 1,250,000 – 4,999,999 TSH kwa wiki, ana haki ya kupata 10% ya kiasi alichopoteza katika kipindi cha wiki moja kwenye akaunti yake ya bonasi ya kasino. Ili bonasi ya kasino iweze kuhamishiwa kwenye akaunti ya pesa halisi, lazima izungushwe mara 50 kwenye mchezo wowote wa sloti. Ushindi wa juu unaoweza kutolewa ni 750,000 TSH.
- Ikiwa wewe ni mchezaji wa kawaida, wa kila siku na mwaminifu na upo katika kikundi cha wachezaji wa VIP, bila kujali kiwango cha juu cha dau ulilopoteza (TSH 250,000+), utapokea 10% ya pesa taslimu.
- Dau lolote ulilopoteza linazingatiwa katika Kipindi cha siku 7 (Jumatatu-Jumapili).
- Mchanganuo wa salio hufanywa usiku wa Jumapili hadi Jumatatu, usiku wa manane, na kwa kuzingatia hilo, itabainishwa ni mchezaji gani ana haki ya kurejesha pesa kupitia bonasi ya kasino/pesa halisi na ni kwa kiasi gani.
- Na zitalipwa moja kwa moja kwenye akaunti ya mchezaji kabla ya Jumatatu saa 12:00, ambapo wachezaji watajulishwa kupitia taarifa.
Sheria kuu za Promosheni:
- Mteja anapaswa kua na bonus moja tuu wakati husika. Ili mteja akubali kupokea bonus husika , Ni lazima kutumia bonus ya kasino iliyopo wakati huo au kuitoa.
- Meridianbet ina haki ya kuondoa promosheni na kubadirisha sharia za promosheni hii wakati wowote.
- Meridianbet ina haki ya kukatisha matokeo na kutolipa bonus iwapo matokeo ya mteja kwa uchache au yote yametokea kimakosa kutokana na makossa ya kawaida, Makosa ya kiufundi au matatizo kwenye mchezo husika, bila kujali ni tatizo la kimfumo, kibinadamu ,programu na udanganyifu au uchezaji wa kimakundi.
- Vigezo vya ujumla na masharti kuzingatiwa.