Vigezo na Masharti:
- Promosheni itadumu kuanzia Novemba 11 mpaka Novemba 30.
- Promosheni ni halali kwa wachezaji waliosajiliw akwenye APP na tovuti ya Meridianbet.co.tz.
- Wakati wa promosheni, kutakua na mvua 25 za bure kila siku, wachezaji 20 watapokea beti za mvua za bure kila muda.
- Wakati wa kila mvua, wachezaji 20 watakao bofya kitufe cha CLAIM watapata mvua za bure
- Kila beti ya mvua za bure inayotolewa ina thamani ya 200 TSH
- Mchezaji anawaze ku CLAIM beti ya mvua za bure mara moja pekee kwa kila mzunguko.
- Fungua "Chat" ndani ya mchezo wa AVIATOR kwa kubonyeza ikoni iliyo juu kulia mwa skrini na subiri Freebet rain.
- Baada ya kudai Freebet, wachezaji wanapaswa kubonyeza "Free bets" kwenye menyu na kuchagua kiasi cha Freebet kilichodaiwa kama dau lao.
- Ushindi utatolewa kwenye akaunti ya pesa ya mchezaji wakati wowote mara tu odds zitakapofikia kiwango cha chini cha 1.95.
- Freebet rain itatokea bila mpangilio mara 25 kwa siku, ikidumu kwa dakika 10 kila wakati.
- Freebet lazima zitumike ndani ya dakika 10 baada ya kubonyeza kitufe cha CLAIM.
- Mbali na Freebet rains za kila siku, Meridianbet itatoa zawadi kwa wachezaji 20 bora kwenye ubao wa uongozi wenye kiwango cha juu cha malipo mwishoni mwa promosheni.
Nafasi ya 1 : IPhone 15pro
Nafasi ya 2 : Infinix Hot 40pro
Nafasi ya 3 : JBL Headsets
Nafasi ya 4 na 5 : Freebet 20 kila mmoja
Nafasi ya 6 mpaka 10 : Freebet 10 kila mmoja
- Ofa hii ni kwa mtuamiaji mmoja pekee, Anuani ya IP na Kaya.
- Kwa kusajili akaunti, wachezaji wanakubaliana na sheria na viezo vyote vya promosheni.
- Meridianbet wana haki ya kubadili sheria au kusitisha promosheni wakati wowote.
- Vigezo na Masharti ya jumla kuzingatiwa.
PLAY