Msaada
Nyuma

Fortune Roulette – Droo Kubwa ya Pesa Taslimu!

Muda uliobaki

8:10:53

Jinsi ya Kucheza

  1. Weka Dau Lako: Cheza angalau dau moja la pesa halisi la ~minBet kwenye Fortune Roulette.

  2. Jinsi ya Kushinda: Zawadi za Prize Drop hutolewa kwa bahati nasibu wakati wa mchezo kwenye kila dau linalofuzu.

  3. Unachoweza Kushinda: Unaweza kushinda hadi Prize Drop mbili (2) kila siku, hadi kufikia ~highestPrize.

Masharti ya Jumla ya Fortune Roulette Daily Prize Drops

  • Fortune Roulette Daily Prize Drops zitafanyika kila siku kuanzia 25 Aprili 2025 saa 10:01 CEST hadi 4 Mei saa 23:59 CEST ("Kipindi cha Promosheni"). Hii ni promosheni ya mtandao inayosimamiwa na Pragmatic Play na mfuko wa zawadi unashirikiwa kati ya waendeshaji mbalimbali.

  • Ili kushiriki katika Fortune Roulette Daily Prize Drop, mchezaji anatakiwa kujiunga au kuthibitisha ushiriki kupitia mchezo/jedwali lolote linaloshiriki.

  • Kwa kuthibitisha ushiriki, mchezaji anakubaliana kufuata masharti haya.

  • Ili kufuzu kupata zawadi, mchezaji anatakiwa kuweka dau la pesa halisi kwenye mchezo unaoshiriki kwa kiwango cha chini cha ~minBet.

  • Unaweza kushinda zawadi mbili (2) tu kila siku kwenye Fortune Roulette Daily Prize Drop.

  • Zawadi hutolewa kwa bahati nasibu kwenye kila dau linalofuzu. Kila dau linaweza kuchochea zawadi moja tu kwa wakati mmoja.

  • Zawadi zitatolewa kama kiasi cha pesa taslimu (katika sarafu ya nchi ya mchezaji) bila masharti ya kubashiri au vikwazo vya kutoa pesa. Zawadi zote zimeainishwa ndani ya sehemu ya "Zawadi" kwenye menyu ya promosheni inayopatikana ndani ya mchezo.

  • Unaweza kufuatilia ushindi wako, ushindi wa wachezaji wengine, na idadi ya zawadi zilizobaki kwa muda halisi ndani ya sehemu ya promosheni ya kila mchezo unaoshiriki.

Masharti ya Jumla ya Ziada

  • Hakuna gharama ya ziada kushiriki.

  • Zawadi zote za pesa zitatolewa bila masharti ya kubashiri wala vikwazo vya kutoa pesa.

  • Sehemu ya fedha ambazo hazijasambazwa kutoka kwenye promosheni ya Drops & Wins zitagawiwa kwa wachezaji kupitia promosheni hii.

  • Kiwango cha ubadilishaji wa sarafu kitakachotumika kimeamuliwa na Pragmatic Play na kinahesabiwa kwa kutumia kizidisho cha Euro kulingana na sarafu ya mchezaji.

  • Mchezo unaoshiriki ni pamoja na matoleo yote yaliyopo. Unaweza kucheza Fortune Roulette Prize Drops kupitia kompyuta, simu ya mkononi au tablet.

  • Pragmatic Play ina haki ya kurekebisha, kusimamisha au kufuta promosheni hii, pamoja na masharti yake, wakati wowote. Mabadiliko hayo hayatawahusu wachezaji waliokwisha thibitisha ushiriki, isipokuwa pale inapohitajika kudhibiti au kuzuia udanganyifu au tabia zisizo halali.

  • Pragmatic Play ina haki ya kuchunguza shughuli za wachezaji kugundua matumizi mabaya. Iwapo kutabainika tabia ya udanganyifu, zawadi zinaweza kufutwa na mchezaji akazuiwa kushiriki promosheni zijazo. Vilevile, hatua za kisheria zinaweza kuchukuliwa dhidi ya mchezaji kulinda uadilifu wa promosheni.

  • Iwapo kutakuwa na utofauti kati ya tafsiri ya Kiswahili na Kiingereza, matoleo ya Kiingereza yatatumika.

  • Masharti haya yanapaswa kusomwa sambamba na Masharti ya Jumla ya jukwaa ulilosajiliwa.

CHEZA

Promosheni Zaidi

Fortune Roulette – Droo Kubwa ya Pesa Taslimu!

Zawadi zenye thamani ya TSh 250,000,000 zinapatikana kila siku!

Muda uliobaki

8:10:53

Soma zaidi

Mashindano ya Yggdrasil yameanza!

Pata Sehemu ya TSh 2.7 Milioni kwa Kucheza Sloti za Yggdrasil!

Muda uliobaki

8:10:53

Soma zaidi

Shindano la Sloti la Expanse

Pata Ushindi Mkubwa na Studio za Expanse na Meridianbet!

Muda uliobaki

8:10:53

Soma zaidi

Watoa Huduma Wapya Watatu SASA WAPO HEWANI!

Habari njema kwa wapenzi wote wa kasino – SmartSoft, Spinomenal, na Yggdrasil sasa wanapatikana!

Muda uliobaki

8:10:53

Soma zaidi