Msaada
Nyuma

Sweet Rush Bonanza

Muda uliobaki

8:10:53

Jinsi ya kucheza:

  1. Weka dau lako: Cheza angalau spin moja ya pesa halisi kwa dau lolote katika mchezo unaoshiriki.

  2. Jinsi ya kushinda: Zawadi hutolewa kwa bahati nasibu katika spin yoyote inayochezwa kwa Dau Linalostahili. Kila Dau Linalostahili linaweza kutoa zawadi moja tu kwa wakati mmoja.

  3. Nini cha kushinda: Unaweza kushinda hadi mara 50,000 ya dau lako, au 10 au 20 Free Spins. Dau la juu kwa malipo ya zawadi: TZS 3,000.


Masharti ya Jumla

  • Promosheni ya “Sweet Rush Bonanza” itafanyika kuanzia 30 Septemba 2025  hadi 5 Oktoba 2025  (“Muda wa Promosheni”). Hii ni promosheni ya mtandao inayoendeshwa na Pragmatic Play na jumla ya zawadi inashirikiwa na waendeshaji mbalimbali.

  • Ili kushiriki kwenye promosheni ya "Sweet Rush Bonanza", unatakiwa kujiunga au ku-opt-in kupitia mchezo wa Sweet Rush Bonanza (“Mchezo Unaoshiriki”).

  • Kwa ku-opt-in kwenye promosheni hii, unakubali kufuata masharti haya yote.

  • Ili kustahili zawadi, lazima ucheze spin za pesa halisi kwenye Mchezo Unaoshiriki kwa dau lolote (“Dau Linalostahili”).

  • Unaweza kushinda zawadi moja (1) pekee katika kipindi cha promosheni.

  • Zawadi hutolewa kwa bahati nasibu katika spin yoyote ya Dau Linalostahili, na ni zawadi moja tu hutolewa kwa wakati mmoja.

  • Zawadi zinatolewa kwa namna ya viwango vilivyowekwa vya kuzidisha dau lako (kizidisho X mara dau lako, ambapo dau haliwezi kuzidi TZS 3,000 kwa malipo ya zawadi), au Free Spins (kama ilivyoelezwa hapa chini). Zawadi zote zinaonyeshwa ndani ya sehemu ya “Prizes” kwenye menyu ya promosheni inayoonekana ndani ya mchezo.

  • Zawadi za Free Spins (“Free Spins”) zinatolewa kama 10 au 20 Free Spins katika Sweet Rush Bonanza, kwa kiwango cha dau ulichochagua. Ikiwa dau linazidi TZS 3,000, Free Spins zitatolewa kwa kiwango cha TZS 3,000 (au kiwango kinachofuata juu ya hicho). Free Spins lazima zidaiwe na zitumike ndani ya siku saba (7) tangu wakati ulipozipata.

  • Ushindi kutoka kwenye promosheni ya Sweet Rush Bonanza unalipwa moja kwa moja kama pesa taslimu (kwa sarafu ya ndani ya mchezaji) bila masharti ya kubet tena.

  • Ikiwa utanunua kipengele cha Bonus/Free Spins kwenye mchezo unaoshiriki (“Bonus Buy”), zawadi yako itatolewa kabla hujaingia kwenye kipengele cha Bonus/Free Spins, kwa thamani ya TZS 3,000. Bonus Buy itapatikana tu kwenye maeneo yanayoruhusiwa.

  • Ikiwa utaweka dau la Super Spin, Double Chance Bet, au Triple Chance Bet (“Ante Bet”), zawadi yako itatolewa kwa kiwango cha dau ulilotumia au kiwango cha TZS 3,000, endapo dau litazidi kiwango cha juu. Ante Bet inapatikana tu kwenye maeneo yanayoruhusiwa.

  • Unaweza kufuatilia ushindi wako, ushindi wa wachezaji wengine, na idadi iliyobakia ya zawadi kwa muda halisi ndani ya kiolesura cha promosheni kwenye kila mchezo unaoshiriki.


Masharti ya Jumla Zaidi

  • Hakuna gharama ya ziada inayohitajika ili kushiriki.

  • Zawadi za pesa taslimu hazina masharti ya kubet tena au vizuizi vya kutoa.

  • Kiwango cha ubadilishaji wa sarafu kilichotangazwa kinabainishwa na Pragmatic Play pekee na kinahesabiwa kwa kutumia kigezo cha Euro (€) hadi sarafu ya mchezaji wa ndani (TZS).

  • Orodha ya michezo inayoshiriki inapatikana kwenye sehemu ya Promotions katika lobby ya Pragmatic Play, na pia katika menyu ya promosheni au kipengele maalumu kwenye jukwaa.

  • Pragmatic Play inahifadhi haki ya kubadilisha, kusitisha, au kufuta promosheni ya "Sweet Rush Bonanza", ikiwemo masharti yoyote yanayohusiana, wakati wowote. Mabadiliko haya hayatawahusu wachezaji waliokwisha jiunga isipokuwa pale inapohitajika kudhibiti au kuzuia udanganyifu na vitendo visivyo halali.

  • Pragmatic Play inahifadhi haki ya kukagua shughuli za wachezaji kugundua iwapo kuna matumizi mabaya. Endapo ukaguzi utafichua udanganyifu au vitendo visivyo halali, Pragmatic Play inaweza kuzuia ushindi na kuzuia ushiriki wa mchezaji katika promosheni zijazo. Zaidi ya hapo, Pragmatic Play na mmiliki wa jukwaa ambapo mchezaji amesajiliwa wanaweza kuchukua hatua za kisheria kulinda usawa wa promosheni kwa washiriki wote.

  • Endapo kutakuwa na tofauti kati ya masharti ya Kiingereza na tafsiri yoyote, matoleo ya Kiingereza yatakuwa na nguvu zaidi.

  • Masharti haya yanapaswa kusomwa sambamba na Masharti ya Jumla ya jukwaa unalojisajili.

CHEZA SASA!

Promosheni Zaidi

Sweet Rush Bonanza

Jiandae kwa safari ya kusisimua na Sweet Rush Bonanza!

Muda uliobaki

8:10:53

Soma zaidi

CashDays X-TREME

Zungusha, Pata Pointi & Ushinde – CashDays yamefika!

Muda uliobaki

8:10:53

Soma zaidi

2025 Pambano la Fedha

Zungusha. Shinda. Tawala – TZS Bilioni 1.5 Inakusubiri!

Muda uliobaki

8:10:53

Soma zaidi

Playson Short Races – Shinda Kila Usiku!

Jiunge na Playson Short Races za kusisimua zenye zawadi za jumla zaidi ya TZS 6 bilioni!

Muda uliobaki

8:10:53

Soma zaidi