Muda uliobaki
8:10:53
Promosheni hii inaendeshwa kuanzia 6 Novemba 2025 saa 12:01 hadi 13 Novemba 2025 saa 01:59.
Hii ni network promotion inayoendeshwa na Pragmatic Play, na zawadi zinashirikiwa na kasino/mtoa huduma mbalimbali.
Ili kushiriki, lazima uopt-in / kujiunga na promosheni ya Mega Roulette 3000.
Ukijiunga, unakubali kufuata masharti haya yote.
Kila dau linalostahili lazima liwe TZS 1,500 au zaidi.
Kikomo cha ushindi ni zawadi tatu (3) tu kwa mchezaji mmoja ndani ya muda wa promosheni.
Zawadi zinatolewa kwa bahati nasibu (random) kwenye kila dau linalostahili, na kila dau linaweza kutoa zawadi moja tu kwa wakati mmoja.
Zawadi hutolewa kama multipliers (mara ya dau uliloweka). Dau linalokubaliwa kwa malipo ya zawadi halitazidi TZS 4,500 (sawa na €1.5).
Ukiweka dau la TZS 3,000 (€1) na ukapokea 10x Prize Drop, basi:
3,000 × 10 = TZS 30,000 ndicho kiasi utakachopokea.
Unaweza kuona wyshindi wako, washindi wengine, na idadi iliyobaki ya zawadi live/in real-time kwenye sehemu ya promosheni kwenye mchezo.
Hakuna gharama ya ziada kushiriki kwenye promosheni.
Zawadi zote za fedha hazina wagering requirement, unaweza kutoa papo hapo.
Sehemu ya fedha ambazo hazijasambazwa kutoka promosheni ya Drops & Wins inaweza kutolewa kwenye promosheni hii.
Ubadilishaji wa fedha hutumia kiwango cha Euro → TZS kilichowekwa na Pragmatic Play.
Unaweza kucheza kupitia kifaa chochote (simu, kompyuta, tablet).
Pragmatic Play ina haki ya kubadilisha, kusitisha au kufuta promosheni kama kutahitajika, bila kuathiri wale ambao tayari wameshashiriki isipokuwa ihitajike kwa masuala ya udanganyifu.
Iwapo utabainika kufanya udanganyifu, zawadi zinaweza kufutwa na akaunti kuzuiwa kushiriki promosheni zijazo.
Kama kutakuwa na tofauti ya tafsiri kati ya Kiingereza na lugha nyingine, Kiingereza ndicho kitakalozingatiwa.
Masharti haya yanasomwa sambamba na Masharti ya jumla ya tovuti/platform unayotumia.

Hisi Msisimko wa Ushindi wa Mara 3000.
Muda uliobaki
8:10:53

Mega Fire Blaze Roulette Live – pale Halloween inapokutana na bahati!
Muda uliobaki
8:10:53

Cheza Ushinde Papo Hapo – Hakuna Kiwango cha Chini cha Dau!
Muda uliobaki
8:10:53

Zungusha Usiku wa Kutisha, Ushinde Zawadi Tamu!
Muda uliobaki
8:10:53