-
Hii itatumika kwa Wateja wa USSD (PIGA *149*10#) wanaocheza tiketi (Kawaida, JPs) ndani ya muda wa Ofa.
-
Promosheni itadumu kuanzia tarehe 23.12.2024 mpaka 22.01.2025.
-
Tiketi lazima iwe na mechi 3 na zaidi.
-
Kila mchezo uliojumuishwa kwenye tiketi lazima iwe na Odds kuanzia 1.50 na zaidi.
-
Kiasi cha chini cha dau la tiketi ya kawaida lazima iwe 500 au zaidi, kwa JP inabaki kama kwa Bei ya JP (Tsh. 500).
-
Tiketi za mshindi na aliyeshindwa zote zitajumuishwa kwenye Matangazo.
- Meridianbet inahifadhi haki ya kuondoa au kukataa wateja wakati wowote kutokana na ushiriki wa ofa.
-
Meridianbet ina haki ya kubadili sheria au kusitisha promosheni wakati wowote.
-
Vigezo na Masharti ya Jumla Kuzingatiwa.