Aviator na Meridianbet wameungana kukuletea msimu wa maajabu halisi Desemba hii!
Kipindi cha kuanzia Desemba 23 mpaka Desemba 31 kimeandaliwa kwaajili ya safari bab kubwa angani sambamba na mvua ya BETI ZA BURE.
Jumla ya mara 20 kwa siku kwa wachezaji 10 kila wakati.
Ushindi ni rahisi; utapata pointi 2 kwa kila TZS 3000 utakayoicheza kwenye Aviator, na points 20 kwa kila mzunguko utakaochezwa!
Washindi wa promosheni ya Aviator Summer Flight watapokea zawadi zifuatazo kutoka Meridianbet:
Nafasi ya 1 - 50 x 5,000 TZS Beti za Bure za Aviator
Nafasi ya 2 - 30 x 5,000 TZS Beti za Bure za Aviator
Nafasi ya 3 - 20 x 5,000 TZS Beti za Bure za Aviator
Nafasi ya 4-10 - 10 x 5,000 TZS Beti za Bure za Aviator