Vigezo na Masharti:
- Wachezaji wote waliosajiliwa kwenye APP na tovuti ya meridianbet.co.tz na wanaruhusiwa kushiriki kwenye promosheni.
- Promosheni hii itadumu kwa siku ya Boxing Day pekee tarehe 12/26/2023.
- Tiketi zote zinazochezwa kwenye APP au tovuti ya meridianbet.co.tz, ambayo ina michezo ifuatayo pekee, itashiriki kwenye promosheni:
3+, 4+, 5+, 6+, 7+, 0-2, GG na GG3+
- Tiketi ni halali kwa mechi za ligi kuu ya Uingereza (EPL) pekee.
- Tiketi zitalipwa siku hiyo hiyo.
- Matokeo ya tiketi sio lazima - tiketi zilizoshinda na zisizoshinda zitashiriki katika promosheni.
- Mshindi atatangazwa kulingana na idadi kubwa zaidi ya tiketi zilizochezwa.
- Wachezaji 38 ambao watakuwa na tiketi nyingi zilizo na masharti maalum watapokea bonasi, ambayo ni:
1) TSh 200,000 bonasi
2) TSh 100,000 bonasi
3) 5 x TSh 50,000 bonasi
4) 10 x TSh 25,000 bonasi
5) 20 x TSh 12,000 bonasi
- Mchezaji mmoja anaweza kushinda zawadi moja tu kwa siku.
- Orodha ya nafasi na washindi wa shindano itaonekana kwenye ukurasa wa matangazo siku inayofuata, 27.12.
- Dau la chini kwa kila tiketi ni TSH 2000.
- Matukio yote kwenye tiketi lazima yawe matukio ya kimichezo pekee.
- Tiketi ambazo haziruhusiwi kushiriki kwenye promosheni:
Tiketi za pesa za Turbo
Tiketi za mfumo
Tiketi zinazochezwa kutoka kwenye akaunti ya bonasi
Tiketi za Betbuilder
- Katika tukio ambalo wachezaji wawili au zaidi wana idadi sawa ya tiketi, mshiriki aliye na jozi nyingi zilizochezwa kwenye tiketi ana kipaumbele, na ikiwa wamefungana tena, mshindi ni yule ambaye tiketi yake ilichapishwa mwishoni.
- Meridianbet wana haki ya kusitisha au kubadili sheria za promosheni wakati wowote.Katika kesi ya udanganyifu, matatizo ya kiufundi pamoja na sababu zilizo nje ya uwezo wa muandaaji ambazo zinaweza kuathiri uwazi wa ufanyajikazi wa Promosheni, muandaaji ana haki ya kutotoa zawadi, vile vile kufuta ushindi wowote ambao ni matokeo ya udanganyifu.
- Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.