Msaada
Nyuma

CHEZA NA USHINDE IPHONE 15 PRO

Muda uliobaki

8:10:53

Sheria:

  • Ofa inaendelea na itaanza kutumika tarehe 15 Novemba 2024. (00:00:01h) hadi 30.11.2024. (23:59:59h).
  • Tiketi zote zinazochezwa na akaunti ya kawaida, ambayo inatimiza masharti yafuatayo, itashiriki katika promosheni hii:

o Malipo ya chini kwenye tiketi ni 2,500 tzs

o Idadi ya mechi kwenye tiketi iwe 3 au zaidi

o Odds ya chini kwa kila mechi 1.30

  • Tangazo la mshindi litachapishwa kwenye tovuti tarehe 1 Desemba 2024.
  • Mshindi atakuwa ni mshiriki ambaye amecheza tiketi nyingi zaidi wakati wa kipindi cha promosheni.
  • Tiketi zote zilizoshinda na zisizoshinda zitashiriki katika promosheni hii.
  • Ili mshiriki aweze kushinda simu, ni muhimu kuwa na jumla ya kiasi cha chini cha TZS 100,000 ambacho atakuwa amekitumia ndani ya muda wote wa promosheni.
  • Matukio yote kwenye tiketi lazima yawe yenye matukio ya ubashiri wa mpira pekee na hayatakiwi kuunganishwa na aina nyingine za ubashiri zisizo za mpira kama vile:

o Tiketi zinazochezwa kwa kutumia malipo ya bonasi

o Tiketi za Virtual (mbio za farasi/mbio za mbwa, michezo ya virtual, gemu za virtual)

o Michezo ya Namba /Bahati 6/Bahati 5

o Tiketi za mfumo

o Tiketi za Turbo Cash

  • Iwapo washiriki wawili au zaidi watakuwa na idadi sawa ya tiketi zilizochezwa ndani ya kipindi cha promosheni, mshindi atakuwa ni mchezaji ambaye jumla ya mechi alizocheza kwenye tiketi zake ni nyingi zaidi mwenzake.
  • Vigezo na masharti vitazingatiwa

Promosheni Zaidi

CHAKA LA BONASI KUBWA!

FUKUZIA BONASI KUBWA MJINI KWA SASA

Muda uliobaki

8:10:53

Soma zaidi

TSH 200,000,000 Jakipoti Kutoka Meridianbet!

Unahisi Unastahili Kushinda?

Muda uliobaki

8:10:53

Soma zaidi

Virtual Bet

Beti Virtual, Ushindi halisi

Muda uliobaki

8:10:53

Soma zaidi

Promosheni ya Lucky Friday

Cheza Ijumaa na Urejeshe 10% ya Pesa uliyopoteza

Muda uliobaki

8:10:53

Soma zaidi