Muda uliobaki
8:10:53
• Promosheni hii ni halali kwa wachezaji wote waliosajiliwa kwenye tovuti na programu ya simu ya meridianbet.co.tz.
• Shindano litadumu kuanzia 7 Mei 2025 hadi 27 Mei 2025 saa 23:59.
• Ili kustahili zawadi, mchezaji anatakiwa kuweka na kutumia angalau TSh 50,000 katika kipindi cha promosheni.
• Matukio yote kwenye tiketi lazima yawe ya michezo pekee na yawe yanajumuisha mechi kutoka kwenye ofa ya Early Payout.
Tiketi zinazostahili mashindano:
Dau la chini kwa kila tiketi: TSh 1,000
Wachezaji watapangwa kwa kuzingatia idadi ya tiketi walizocheza zinazokidhi masharti.
Tiketi ambazo hazistahili mashindano:
Tiketi zilizochezwa kwa pesa za bonasi hazistahili.
Tiketi zilizolipwa kwa kutumia Turbo Cash hazistahili.
Tiketi za mfumo (system bets) hazistahili.
Tiketi zenye jumla ya odds chini ya 3 hazistahili.
Tiketi ambazo hazina mechi kutoka kwenye ofa ya Early Payout hazitahesabiwa.
Tiketi zinazojirudia (zikiwa na mechi na matukio yale yale) hazitahesabiwa.
Wachezaji watakaoshika nafasi za juu mwishoni mwa mashindano watapata zawadi kama ifuatavyo:
Nafasi ya 1: TSh 2,000,000 Pesa za Bonasi
Nafasi ya 2: TSh 1,000,000 Pesa za Bonasi
Nafasi ya 3: TSh 500,000 Pesa za Bonasi
Nafasi ya 4: TSh 350,000 Pesa za Bonasi
Nafasi ya 5: TSh 300,000 Pesa za Bonasi
Nafasi ya 6: TSh 250,000 Pesa za Bonasi
Nafasi ya 7: TSh 200,000 Pesa za Bonasi
Nafasi ya 8: TSh 150,000 Pesa za Bonasi
Nafasi ya 9: TSh 125,000 Pesa za Bonasi
Nafasi ya 10: TSh 125,000 Pesa za Bonasi
• Washindi watatangazwa na bonasi zao kuingizwa ifikapo 28 Mei 2025 saa 12:00h.
• Ikiwa washiriki wawili au zaidi watakuwa na idadi sawa ya tiketi, mshiriki mwenye jumla ya dau kubwa zaidi kwenye tiketi zinazostahili atapewa kipaumbele.
• Waandaaji wanahifadhi haki ya kumuondoa mtumiaji yeyote anayetiliwa shaka kwa kuvunja sheria za mchezo au za promosheni au kushiriki kwenye dau za pamoja (collusive betting).
• Sheria za jumla za waandaaji zinatumika.
Ongeza ushindi wako kila Jumannne!
Muda uliobaki
8:10:53
Tiririka na ofa hii maalumu na urejeshe mkwanja wako kwenye ubashiri wa michezo unaopoteza!
Muda uliobaki
8:10:53
Sasa unaweza kukaa kwa utulivu kabisa, bila kuwa na shaka!
Muda uliobaki
8:10:53
CHUKUA PESA KWENYE TIKETI YAKO MUDA WOWOTE!
Muda uliobaki
8:10:53