Pata Malipo Mtandaoni ya Tiketi Yako ya Ushindi ya Dukani

 

 

  • Bonyeza SEHEMU ya MALIPO YA TIKETI.
  • Ingiza namba za 13 za utambuzi wa tiketi yako. (Ticket ID).
  • Ingiza namba 6 za malipo ya tiketi yako. (Payout Code).
  • Thibitisha

Utapothibitisha , tiketi ya dukani italipwa na malipo yataingia moja kwa moja kwenye akaunti yako ya mtandaoni.

Unaweza kuendelea kubashiri kwenye akaunti yako ya mtandoni bila ya kwenda dukani kuchukua pesa.

Tafadhari kumbuka kuwa unapolipa tiketi yako ya dukani na pesa kuhamishiwa kwenye akaunti yako ya mtandaoni , hutaweza tena kudai ushindi wako dukani kwasababu tiketi yako tayari imeshalipwa.