Msaada
Nyuma

Sign-Up Promo!

Muda uliobaki

8:10:53

Pata Mizunguko 50 YA BURE na BONASI hadi 300% ya KUWEKA PESA!

Unawezaje kupata bonasi yako?

  • Baada ya kujiunga na promosheni, utaweka jumla ya kiasi utakachopenda kutumia katika promosheni. Hauhitaji kutumia kiasi chote ulichoweka.
  • Baada ya kuweka jumla, kiasi kitatumika kucheza mchezo wowote wa sloti kutoka kwenye ofa zetu, pamoja na nyongeza ya 100% au 200% ya bonasi! Pesa hiyo inaweza kutumika kwenye michezo yoyote iliyojumuishwa kwenye promosheni, katika kipengele cha sloti kwenye tovuti yetu.
  • Wakati wa promosheni, unapocheza kasino unataweza kutumia tu jumla ya kiasi ulichotenga kwaajili ya promosheni, na bonasi iliyotolewa. Pesa zilizosalia katika akaunti yako zinaweza kutumika baada ya ofa kukamilika.·
  • Promosheni moja tu ya casino inaweza kufanya kazi kwa muda huo.
  • Unaweza kupata taarifa za maendeleo ya promosheni kwenye kurasa ya kasino au chagua Akaunti yangu, kisha Promosheni za kasino.

100% Bonasi ya kuweka pesa kwa mara ya kwanza

  • Kila mchezaji aliyejisajili meridianbet.co.tz na kuweka pesa kwa mara ya kwanza anakidhi vigezo vya kujiunga na promosheni hii.
  • Mara tu baada ya kuweka pesa kwa mara ya kwanza, wachezaji wanakidhi vigezo vya promosheni ya “Bonasi 100”
  • Kila mchezaji alyejumuishwa kwenye promosheni baada ya kuweka pesa kwa mara ya kwanza atazawadiwa bonasi yenye thamani ya 100% ya jumla ya kiasi alichochagua kujumuishwa kwenye promosheni.
  • Wachezaji hawahitaji kutumia pesa zote zilizowekwa kwenye bonasi. Kiasi cha chini kinachopaswa kuwekwa ni TSH 10,000 na kiwango cha juu ni TSH 200,000.
  • Baada ya kukubali bonasi, jumla iliyotolewa na kiasi kilichowekwa kitatambulika kama ‘’Locked Assets.’’
  • Locked assets kutoka kwenye promosheni ya 'Bonasi 100' ni lazima itumike mara 30  kucheza michezo kwenye kipengele cha sloti ili kuhamisha kwenye akaunti ya pesa halisi.
    • Mfano : Locked Asset kiasi cha TSH 20,000 x 30 = 600,000 TSH
  • Baada ya “Locked Asset” kutumika kwa idadi inayotakiwa, kiasi kinachopatikana wakati huo kitahamishwa mara moja hadi kwenye akunti ya pesa halisi na kitatumika kwenye tovuti nzima au kutolewa.
  • Kiwango cha juu kwa kila mzunguko wakati wa promosheni kina thamani ya TSH 8,000.
  • Kiasi cha juu kinachoweza kutolewa ni TSH 1,000,000.
  • Iwapo mchezaji ataghairi kuendelea na promosheni kabla ya kutimiza masharti yaliyowekwa, atapoteza thamani yote ya bonasi, mapato yote ya mwisho, pamoja na pesa zozote zilizotumika kwa ofa zilizotumika kabla ya kughairiwa. ‘Rasilimali binafsi’ (fedha zinazotumiwa kwenye promosheni) hutumika kabla ya jumla ya bonasi.
  • Ofa hii inatumika kwa mtumiaji mmoja tu, anwani ya IP na kaya.
  •  Kila mchezaji anaweza kushiriki kwenye promosheni ya “Bonasi 100%” mara moja.
  • Kwa kushiriki promosheni, mchezaji atakuwa amekubali sheria na vigezo vyote vinavohusiana na promosheni.

200% Bonasi ya kuweka pesa kwa mara ya pili

  • Kila mchezaji aliyejisajili meridianbet.co.tz na kuweka pesa kwa mara ya pili anaruhusiwa kujiunga na promosheni hii.
  • Mara tu baada ya kuweka pesa kwa mara ya pili, wachezaji wanakidhi vigezo vya promosheni ya “Bonasi 200”
  • Kila mchezaji alyejumuishwa kwenye promosheni baada ya kuweka pesa kwa mara ya pili atazawadiwa bonasi yenye thamani ya 100% ya jumla ya kiasi alichochagua kujumuishwa kwenye promosheni.
  • Wachezaji hawahitaji kutumia pesa zote zilizowekwa kwenye bonasi. Kiasi cha chini kinachopaswa kuwekwa ni TSH 10,000 na kiwango cha juu ni TSH 200,000.
  • Baada ya kukubali bonasi, jumla iliyotolewa na kiasi kilichowekwa kitatambulika kama ‘’Locked Assets.’’
  • Locked assets kutoka kwenye promosheni ya 'Bonasi 200' ni lazima itumike mara 30  kucheza michezo kwenye kipengele cha sloti ili kuhamisha kwenye akaunti ya pesa halisi.
    • Mfano : Locked asset kiasi cha TSH 10,000 (200) x 30 = 900,000 TSH
  • Baada ya “Locked Asset” kutumika kwa idadi inayotakiwa, kiasi kinachopatikana wakati huo kitahamishwa mara moja hadi kwenye akunti ya pesa halisi na kitatumika kwenye tovuti nzima au kutolewa.
  • Kiwango cha juu kwa kila mzunguko wakati wa promosheni kina thamani ya TSH 8,000.
  • Kiasi cha juu kinachoweza kutolewa ni TSH 1,500,000.
  • Iwapo mchezaji ataghairi kuendelea na promosheni kabla ya kutimiza masharti yaliyowekwa, atapoteza thamani yote ya bonasi, mapato yote ya mwisho, pamoja na pesa zozote zilizotumika kwa ofa zilizotumika kabla ya kughairiwa. ‘Rasilimali binafsi’ (fedha zinazotumiwa kwenye promosheni) hutumika kabla ya jumla ya bonasi.Ofa hii inatumika kwa mtumiaji mmoja tu, anwani ya IP na kaya.
  • Kila mchezaji anaweza kushiriki kwenye promosheni ya “Bonasi 200%” mara moja.
  • Kwa kushiriki promosheni, mchezaji atakuwa amekubali sheria na vigezo vyote vinavohusiana na promosheni.
  • Meridianbet ina haki ya kubadili sheria au kusitisha promosheni wakati wowote.
  • Vigezo na Masharti kuzingatiwa.

 

Terms and Conditions:

  • Promosheni itadumu kuanzia 27.02.2023 - 35.08.2023.
  • Promosheni itahusisha wateja wote wanaojiunga kwa mara ya kwanza kwenye APP au tovuti ya meridianbet.co.tz
  • Kila mchezaji atakayejiunga atajipatia mizunguko 50 ya bure kwenye sloti ya Wild Icy Fruits (Expanse) ambayo itawekwa ndani ya masaa 24 tangu afungue akaunti.
  • Dau kwa kila mzunguko ni TSH 80, na kiwango cha juu unachoweza kushinda ni TSH 4,000.
  • Mizunguko ya bure inahitajika kuzungushwa mara 40, ikimaanisha ushindi kutoka kwenye mizunguko hiyo inapaswa kuzungushwa/kuwekezwa tena katika mchezo huo huo mara 40 ili kuhamisha ushindi katika akaunti ya pesa halisi. Maendeleo ya mchezo yanaweza kufwatiliwa ndani ya mchezo katika ubao wa maendeleo.
  • Mizunguko ya bure itaisha muda wake siku 3 baada ya kuzawadiwa.
  • Muandaaji ana haki ya kubadili au kusitisha promosheni muda wowote.
  • Kwa taarifa zaidi, usaidizi au matangazo, tafadhali wasiliana na kitengo chetu cha huduma kwa wateja.
  • Vigezo na Masharti kuzingatiwa.

Promosheni Zaidi

JIUNGE SASA NA UANZE KUSHINDA!

Jiunge sasa na uanze kushinda!

Muda uliobaki

8:10:53

Soma zaidi

Bonasi ya michezo na kasino

Jinsi ya kukubali na kutumia bonasi

Muda uliobaki

8:10:53

Soma zaidi

Programu ya Ushirika

Kuwa mshirika na Meridianbet

Muda uliobaki

8:10:53

Soma zaidi