Pata 200% Bonasi ya Kuweka Pesa kwa mara kwanza kwenye Kasino.
Wateja wote waliojisajili na kuweka pesa kwa mara yao ya kwanza katika tovuti yetu watapokea bonasi ya 200% ya pesa waliyoweka kwa mara ya kwanza,
Jiunge na promosheni hii kwa kuweka amana yako ya kwanza na ongeza msisimko wako mara tatu!
Maelekezo:
- Baada ya kujiunga na promosheni hii, inapaswa kuweka kiasi ambacho kitatumika katika promosheni hii. Hauhitaji kutumia kiasi chako chote kilichowekwa.
- Baada ya hapo, kiasi hicho, kitatumika kucheza kwenye mchezo wowote wa sloti uliopo katika ofa hii , pamoja na nyongeza ya bonasi ya 200%! Fedha hizo zinaweza kutumiwa kwenye mchezo wowote uliojumuishwa katika promosheni, ulioonyeshwa katika sehemu ya sloti kwenye tovuti yetu.
- Ndani ya kipindi cha promosheni hii , unaweza kutumia tu jumla ya fedha iliyotengwa kwenye promosheni , na bonasi uliyopewa kwa kucheza kasino. Fedha zilizobaki kwenye akaunti yako zinaweza kutumiwa tu baada ya promosheni kuisha.
- Unaweza kupata habari juu ya maendeleo ya promosheni hii kwenye ukurasa wa nyumbani wa Kasino au katika chaguo Akaunti Yangu, Promosheni za Kasino.
Vigezo na Masharti ya Promosheni:
- Kila mchezaji aliyesajiliwa kwenye meridanbet.co.tz na ambaye ameweka pesa kwa mara ya kwanza atakuwa na vigezo vya kujiunga kwenye promosheni hii
- Mara moja baada ya kuweka amana ya kwanza, wachezaji hao watakuwa wamefuzu kupewa bonasi ya 200% kwenye promosheni hii.
- Kila mchezaji atakayewekwa katika promosheni hii baada ya kuweka pesa kwa mara ya kwanza atapewa bonasi yenye thamani ya 200% ya jumla ya pesa aliyochagua kutumika katika promosheni hii
- Wachezaji hawahitaji kutumia fedha zote zilizowekwa ili wapate bonasi. Kiwango cha chini ambacho lazima kiwekwe ni 10,000 TZS, na kiwango cha juu ni 250,000 TZS
- Baada ya kupata bonasi, jumla ya kiasi cha bonasi hiyo itachanganywa na jumla ya pesa iliyowekwa katika promosheni hii na itaitwa 'Locked Assets'
- Locked Assets hizo kutoka kwenye promosheni hii ya 'Bonasi ya 200%' lazima zitumiwe zaidi ya mara 100 (ikiwa umeweka 10,000 TZS, na umepata bonus ya 20,000 TZS , jumla utakuwa 30,000/= hivyo mteja anahitaji kucheza jumla ya 3,000,000 TZS katika mchezo wa Kasino) kwenye kipengele cha michezo ya sloti ili pesa hiyo iweze kubadilishwa kuwa pesa taslimu kwenye akaunti ya mchezaji.
- Baada ya locked Assets kutumiwa katika idadi inayohitajika , jumla ya ushindi ambao utapatikana wakati huo utahamishiwa mara moja kwenye akaunti yako kama pesa tasilimu, ambayo utaweza kutumia kucheza michezo mingine yeyote au unaweza kuitoa.
- Ubashiri wa juu kwenye mzunguko moja wakati wa promosheni hii ni TZS 10,000.
- Kiwango cha juu utakachoweza kuamishwa kuwa pesa taslimu kutoka kwenye promosheni hii ni TZS 750,000
- Ikiwa mchezaji atasitisha promosheni hii kabla ya kutimiza masharti yaliyowekwa, atapoteza thamani nzima ya bonasi, mapato yote ya mwisho, pamoja na pesa zilizotumiwa kabla ya kusitisha promosheni hii. 'Pesa binafsi' (pesa zilizotumiwa katika promosheni hii ) zinatumika kila wakati kabla ya kuanza kutumia pesa ya bonasi.
- Ofa hii ni halali kwa mtumiaji mmoja tu, anwani ya IP, na kaya.
- Kila mchezaji anaweza kuingia katika promosheni hii ya "Bonasi 200%" mara moja tu.
- Kwa kushiriki katika promosheni hii , wachezaji wanakubali masharti yote na masharti yanayohusiana na promosheni hii.
- Meridian inahifadhi haki ya kubadilisha sheria za promosheni hii au kuufuta kwa hiari yake.
- Vigezo na Masharti kuzingatiwa