Vigezo na Masharti ya Promosheni:
- Promosheni hii ni ni halali kwa wachezaji waliosajiliwa kuanzia 22.12.2024
-
Kila mchezaji aliyesajiliwa kwenye tovuti ya Meridanbet.co.tz au APP ambaye ataweka amana ya kwanza ya kiasi cha 1,000 TZS au zaidi na kuweka dau kwenye michezo au kucheza ofa ya kasino kwa thamani ya amana yake ya kwanza atapata Bonasi ya Michezo ya 150%, Amana ya Pili itapata Bonasi ya Michezo ya 200%, Amana ya Tatu itapata 250% AU hadi Mizunguko 150 ya Bure ya Kasino kwenye mchezo wa sloti wa Expanse Pia Premium kama zawadi kwa Amana ya Kwanza, Pili na Tatu AU hata zote mbili ikiwa atakidhi masharti kwenye bidhaa zote mbili.
-
Wachezaji lazima waweke amana na kuzungusha amana yao ya kwanza ndani ya siku 6, Amana ya Pili ndani ya Siku 8 na Amana ya Tatu ndani ya siku 10 tangu wakati wa usajili wao. Iwapo wataweka amana baada ya siku zilizotajwa, hawatahitimu kwa promosheni hii.
- Tiketi za Turbo Cash hazitahesabika katika kiwango kilichozungushwa
- Uzungushaji utahesabika tu kwenye michezo ya sloti ya kasino. Kucheza Crash, Liver Dealer au bidhaa yoyote ya kasino haitahesabika kwenye promosheni.
- Mizunguko ya Bure
- Endapo kiasi ya kwanza kilichowekwa na mchezaji ni mpaka 4,999 TSH na vigezo vya uzungushwaji vimefikiwa, mchezaji atapata mizunguko 20 ya bure kwenye sloti ya Pia Premium kutoka Expanse.
- Endapo kiasi ya kwanza kilichowekwa na mchezaji ni kuanzia 5,000 TSH mpaka 14,999 TSH na vigezo vya uzungushwaji vimefikiwa, mchezaji atapata mizunguko 50 ya bure kwenye sloti ya Pia Premium kutoka Expanse.
- Endapo kiasi ya kwanza kilichowekwa na mchezaji ni kuanzia 15,000 TSH mpaka 29,999 TSH na vigezo vya uzungushwaji vimefikiwa, mchezaji atapata mizunguko 100 ya bure kwenye sloti ya Pia Premium kutoka Expanse.
- Endapo kiasi ya kwanza kilichowekwa na mchezaji ni zaidi ya 30,000+ TSH na vigezo vya uzungushwaji vimefikiwa, mchezaji atapata mizunguko 100 ya bure kwenye sloti ya Pia Premium kutoka Expanse.
- Kiasi kilichopatikana/kushinda kwenye mizunguko ya bure kinatakiwa kuzungushwa mara x40 kwenye mchezo sloti ya Pia Premium kuweza kuhamisha pesa kwenda kwenye akaunti ya pesa halisi ya mchezaji.
- Mchezaji atapata taarifa kwenye APP notification kuhusiana na kiasi cha pesa kinachoweza kuhamishiwa kwenye akaunti ya pesa halisi kutoka kwenye mizunguko ya bure.
- Endapo mchezaji atajiondoa kwenye promosheni kabla ya kukidhi vigezo vilivyowekwa, kiasi cha mizunguko ya bure kitakuwa 0 na mchezaji hatapata faida yoyote kutoka kwenye promosheni hii
- Mizunuko ya bure ya kasino itadumu kwa siku 7 tangu mchezaji apate taarifa.
- Ofa hii ni halali kwa mtumiaji mmoja tu, anwani ya IP, na kaya.
- Kila mchezaji atapata 150% Bonasi ya michezo au mpaka 150 mizunguko ya bure kwenye promosheni hii mara moja pekee.
- Kwa kushiriki kwenye promosesheni hii, wachezaji wanakubaliana na vigezo na masharti yote yanayohusiana na promosheni hii.
- Meridianbet wana haki ya kubadili sheria au kusitisha promosheni hii wakati wowote.
- Kiasi cha chini kushiriki promosheni hii ni 1,000 TSH
- Kiwango cha juu cha mizunguko ya bure ni 150.
- Kiwango cha juu cha bonasi ya michezo ni 50,000 TSH
- Kiwango cha juu kinachoweza kuachiwa kutoka kwenye bonasi ya michezo ni 50,000 TSH
- Tiketi zitakazokidhi vigezo vya 150% bonasi ya michezo ni zile zenye mechi 3 au zaidi na kila mechi ikiwa na odds ya 1.95 au zaidi.
- Tiketi za Cashout hazitahesabika kwenye mizunguko ya kukidhi vigezo vya bonasi.
Vigezo na masharti ya jumla ya Meridianbet yatatumika.
JISAJILI SASA