Bonasi ya App ya Android

Pakua application MPYA ya Android ya Meridianbet na uweke ubashiri wako wa kwanza kwenye gemu YOYOTE na sisi tutalinganisha UBASHIRI WAKO wa kwanza mpaka kufikia TSH 10,000!

Pakua SASA


Namna ya Kupakua App ya Android ya Meridianbet

Maelekezo juu ya namna ya kuipakua na kuihifadhi hii app:

 • Kifanye kifaa chako kiruhusu kuhifadhi applications zinazopatikana nje ya Google Play Store kwa kufanya hivi: Setting > Security > Unknown sources > Allow > OK
 • Bofya sehemu iliyoandikwa "Download Application" hapo juu na kisha bonyeza OK
 • Kwenye kijisehemu cha taarifa kitakachokuja, chagua APK file
 • Bofya Install

Masharti na Vigezo vya Bonasi ya App ya Android

 • Kiasi cha juu kabisa cha bonasi kinachoweza kudaiwa ni TSH 10,000.
 • BASHIRI YA KWANZA iliyowekwa kwa kutumia Application Mpya ya Android ya Meridianbet italinganishwa kwa 100% mpaka kufikia TSH 10,000. Mfano: Ubashiri wako wa kwanza kwenye App ya Android ukiwa ni wa TSH 4,500, sisi tutaweka bonasi ya TSH 4,500 kwenye akaunti yako.
 • Ubashiri wa kwanza unaweza kuwekwa kwenye gemu yoyote au uchaguzi wowote.
 • Ubashiri wowote utakaowekwa kwa kutumia pesa ya kwenye bonasi hautojumuishwa kwenye promosheni hii.
 • Ili uwekewe bonasi hii, ni lazima utume maombi yako kwa barua pepe info@meridianbet.co.tz.
 • Promosheni hii ni halali kwa beti zote (zilizoshinda na zilizopoteza).
 • Ofa hii haipatikani kwa wateja ambao wanaishi nje ya Jamhuri ya Tanzania
 • Kila ofa ya wateja ni yenye ukomo mmoja kwa mtu mmoja tu, familia, anuani ya nyumbani, barua pepe, simu ya mezani, namba ya malipo inayoendana (mfano, akaunti ya M-PESA, akaunti ya TIGO Pesa, au akaunti ya Neteller).
 • Tunazo kila haki za kuondosha upatikanaji wa ofa yoyote au zote kwa mteja yeyote au kundi la wateja.
 • Ofa hii inakwenda kwa wateja ambao wameweka miamala ya pesa halisi na kubeti kwa kutumia Application MPYA ya Android ya Meridianbet.
 • Meridianbet inabakia na haki ya kurekebisha, kufuta, kubatilisha au kukataa promosheni yoyote kwa kadri ya upendeleo na matazamio yake.


Promosheni Zaidi

Casino Welcome Bonus

50 Free Spins and up to 300% deposit bonus

Soma zaidi...

Zawadi Kubwa ya Ukaribisho Kuwahi Kutokea! - FINISHED

Jisajili na ujiweke kwenye nafasi ya kushinda Samsung z Flip 4!

Soma zaidi...

Shinda moja kati ya simu 17 aina ya Samsung A23!

Weka beti katika moja ya maduka yetu na Ushinde!

Soma zaidi...