Zawadi za Meridianbet Plus

ZAWADI ZA MERIDIANBET PLUS – MPAKA 5% YA PESA KURUDI KWAKO

Unapata 5% ya pesa inayorudishwa kwako kwenye akaunti yako ya mtandaoni ikiwa kama ni bonasi ya kila wiki endapo umekuwa ukiliwa wiki husika. Inakuwa ni USHINDI endapo ukiliwa mikeka yako wakati ukiwa ni mshirika wa Klabu ya Meridianbet Plus! Ili ufuzu kwenye hii promosheni unatakiwa kuzingatia masharti na vigezo vifuatavyo:

VIGEZO NA MASHARTI

1. Unatakiwa kujisajili kwa ajili ya kupata kadi ya uaminifu ya Meridianbet Plus kwenye duka lililo karibu nawe la Meridianbet.

2. Utarudishiwa 5% kutoka kwenye kiwango cha jumla ulicholiwa wiki husika katika kubeti. Wiki inaanza siku ya Jumatatu saa 06:00 usiku mpaka Jumapili 05:59 usiku ambapo pesa italipwa kama bonasi kabla ya saa 6 mchana kila siku ya Jumatano. 

3. Mahesabu ya ulicholiwa yanafanyika hivi: Ulizoshinda – hela ulizoliwa.  Mfano ukiwa umeshinda Tsh 5000 (bila kujumuisha dau ulilokuwa unaweka) na ukaliwa 6000.  Basi hapo ulicholiwa kwa wiki ni Tsh 1000. Utapokea 5% ya Tsh 1000 ambayo ni Tsh 50. Kiwango cha chini kwa muda husika kinatakiwa kuwa ni Tsh 1000 ili ufuzu.

4. Kila wiki unaweza kurudishiwa mpaka Tsh 250,000.

5. Ili urudishiwe unatakiwa kukubali bonasi kwenye ujumbe utakaoupata kwenye akaunti yako ya Meridianbet.


More promotions

Fast bet

Tengeneza tiketi mtandaoni, weka ubashiri kwenye duka la kubetia.

Soma zaidi...

Shindano la Cash Parade

Shinda mgao wako katika TSH 160,000,000 kwenye promosheni ya shindano letu la Cash Parade!

Soma zaidi...

Wild Wild Riches Promosheni

Mapitio ya Slot ya Wild Wild Riches yenye Jackpot ya BURE!

Soma zaidi...